Imewekwa: January 2nd, 2025
Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Chumbageni, Mheshimiwa ERNEST KIMAYA, amefariki siku ya Jumatatu, Desemba 30, 2024, majira ya saa 11:30 jioni katika Hospital ya Ocean Road Mkoani Dar es Salaam, alipokuwa ...
Imewekwa: January 2nd, 2025
Madiwani kutoka Halmashauri ya Jiji la Dodoma, Jumatatu Desemba 30, 2024, wamefanya ziara ya kutembelea Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa lengo la kujifunza na kubadilishana uzoefu katika maeneo ...
Imewekwa: January 2nd, 2025
Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Mhandisi Juma Hamsini, leo Jumatatu Desemba 23, 2024, amefanya ukaguzi wa mradi wa ujenzi wa vyumba vya madarasa ya Sekondari katika Kata ya Majengo (ilipokuwa Shule ya Msi...