• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

kitengo cha TEHAMA

Kitengo cha Teknolojia ya Habari, Mawasiliano (TEHAMA)

Kitengo cha (TEHAMA) kimeanzishwa mwaka 2010 kwa  kuunganisha  kitengo cha Teknolojia ya Habari Mawasiliano na Mahusiano. Kitengo hiki kina watumishi wa kada mbili, Mafisa TEHAMA na Maafisa Habari

Majukumu ya Kitengo

  1. Kushughulikia utekelezaji wa Sera ya Serikali Mtandao, miongozo, kanuni na viowango vya matumizi na utekelezaji wa TEHAMA.
  2. Kuweka mifumo na mitandao ya Serikali Mtandao.
  3. Kutoa msaada wa matumizi sahihi ya teknolojia ya Habari na Mawasiliano.
  4. Kuhakikisha vifaa vya TEHAMA vinahudumiwa kiufundi na kwa wakati..
  5. Kutoa msaada wa kiufundi na utaalamu wa kununua Vifaa na Mifumo ya TEHAMA.
  6. Kuhudumia na Kuhuisha mifumo na miundombinu ya mawasiliano ya ndani ya Halmashauri
  7. Kuandaa miadi ya Mkurugenzi kukutana na kuongea na vyombo mbalimbali vya habari
  8. Kutoa ufafanuzi kwa vyombo vya habari na jamii kwa masuala mbalimbali yanayohusiana na Halmashauri kwa kufuata maelekezo ya Mkurugenzi
  9. Kuandaa machapisho mbalimbali kwa ajjili ya kuhabarisha jamii kuhusiana na masuala mbalimbali ya halmashauri (machapisho kama vile vipeperushi, jarida, )
  10. Kuandaa mkutano wa waandishi wa habari (Press Conference) baina ya Mkurugenzi/Mstahiki Meya na waandishi wa habari.
  11. Kuratibu na kusimamia waandishi wa habari katika shughuli mbalimbali za Halmashauri
NA. 
HUDUMA ZITOLEWAZO 
JINSI ZINAVYOPATIKANA 
1
Kutoa taarifa za robo au mwaka kwa wananchi na wadau wa maendeleo kuhusu masuala yanayogusa jamii.
- Tovuti ya Halmashauri (www.tangacc.go.tz)
- Vipeperushi
- Barua pepe
- Magazeti, n.k.
2
Kusimamia ufikishwaji wa huduma za mawasiliano kwa wananchi
- kampuni za mawasiliano ya simu
3
Kusaidia jamii kuwa na weledi wa masuala ya mitandao na kuweza kujilinda dhidi ya mashambulizi.
- Tovuti ya Halmashauri
- Vipeperushi
- Semina na warsha.
4
Kutathimini na kusimamia viashiria vya hatari kuhusiana na miundombinu na mifumo ya TEHAMA
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA waliopo Halmashauri.
5
Kutoa miongozo kwa wananchi kuhusu mabadiliko ya njia za utoaji huduma mbalimbali za kielektroniki.
- Tovuti ya Halmashauri
- Matangazo
- Vipeperushi na semina.
6
Kusimamia mifumo ya kielektroniki ya usimamizi wa fedha na ukusanyaji mapato ya ndani, takwimu, n.k.
- Benki
- Mitandao ya Epicor, LGRCiS, BEMIS, HCMIS
- Mtandao wa intaneti
7
Kufanya usimikaji na uhuishaji wa programu za kompyuta, na matengenezo ya vifaa vya TEHAMA.
- Kufika Kitengo cha TEHAMA
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA kwa simu au barua pepe.
8
Kutoa ushauri kuhusu matumizi ya vifaa vya TEHAMA.
- Kufika Kitengo cha TEHAMA
- Kuwasiliana na wataalam wa TEHAMA kwa simu au barua pepe.

Pata Taarifa zinazohusiana na TEHAMA kwa kufuata viunganishi (link) hapa chini

Mwongozo wa Tovuti za Halmashauri

Kitini cha Uandishi wa Tovuti

Sera ya utangazaji wa habari

Muongozo wa Matumizi Bora na Salama ya TEHAMA Serikalini - Mwaka 2017

Orodha za namba za simu kwa ofisi zilizo kwenye mfumo wa Mawasiliano wa Serikali (GovNet)


Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.