Fursa iliyopo ni kuwekeza katika kujenga shule za Msingi za kisasa, Shule za Sekondari, vyuo vya kati na vya Elimu ya juu. Ardhi ipo kwa ajili ya uwekezaji huu na pia uwekezaji huu utaongeza fursa za vijana na wananchi kwa ujumla kujiongezea utaalamu wa aina mbalimbali.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.