• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Uwezeshaji Wananchi

Wilaya ya inakadiriwa kuwa na Vijana 105,096 (me 48,816 na ke 56,280), kati ya hao wenye ajira rasmi 21,019 (20%), waliojiajiri 47,293 (45%), walio shuleni 18,886 (18%) na wasio na kazi ni 17,898 (17%).

 

Hatua Zinazoendelea:  

  Mikopo ya Wanawake na Vijana

Kwa mwaka 2017/18 Halmashauri ya Jiji imetenga Tsh. 671,470,000 kwa ajili ya mikopo ya Vijana na Tsh. 671,470,000 kwa ajili ya wanawake. Halmashauri imewezesha Vijana wa Kikundi cha Mwamko cha Kiomoni pembejeo za kilimo zenye thamani ya Tsh.7,824,500.00 pamoja na kuwawekea miundombinu ya umwagiliaji wa matone. Aidha, Halmashauri iko katika mchakato wa kutoa mikopo ya Jumla ya Tsh.200,000,000/=ambapo Tsh.100,000,000 ni kwa ajili ya Vijana na Tsh.100,000,000/= ni kwa ajili ya wanawake. Pia, uwezeshwaji wa  vikundi juu ya uchumi wa viwanda na uandaaji wa maandiko ya miradi  umefanyika.

Uwezeshaji wa Wanawake na Vijana

Katika suala zima la uwezeshaji wa vijana na wanawake Halmashauri imetenga viwanja 20 kwa ajili ya wanawake na vijana, ambapo katika viwanja hivyo vitaendelezwa kwa ajili ya ujenzi wa viwanda vya kati 10 vya wanawake na viwanda vya kati 10 (Medium  Scale Industries) kwa ajili ya vijana. Aidha katika utekelezaji wa mpango huo makundi hayo yatapewa taratibu maalum za kuchangia kwa ajili ya kujiunga katika makundi hayo ili kuwa mwanachama na kushiriki katika uchumi huo wa viwanda.Utekelezaji wa mpango huu umeanza kwa kukutana na wadau na kuunda  kikosi kazi. Tunaamini kuwa mpango huu utawezesha kuwavusha vijana na wanawake kutoka katika wimbi la umaskini.

Uwekezaji wa kiuchumi

Uwekezaji unaotegemewa kuanza katika wilaya ya Tanga ni ule wa ujenzi wa bomba la mafuta kutoka nchini Uganda kuja Tanga. Viwanda hususani viwanda vya saruji, kwenye sekta za barabara, reli, bandari, kilimo, ufugaji, biashara utawezesha kukabiliana na changamoto ya ajira kwa vijana kwa njia ya kujiajiri au kuajiriwa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.