Imewekwa: September 10th, 2019
Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Ndugu Khalifa Shemahonge ametoa rai kwa walimu ambao watahusika kusimamia mitihani ya darasa la saba inayotarajiwa kuanza siku ya jumatano &nbs...
Imewekwa: September 7th, 2019
Katika kutekeleza agizo la Serikali la kutenga asilimia kumi ya mapato ya ndani kwa ajili ya Wanawake, Vijana na Walemavu mkuu wa mkoa wa Tanga Mhe.Martine Shigela amekabidhi pikipiki 70 kwa vijana wa...
Imewekwa: September 5th, 2019
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe .Martine Shigela amewataka wananchi wa kata ya Tangasisi ambao wana migogoro ya ardhi kujitokeza na kutoa vielelezo ili wapewe haki zao.
...