1.0 UTANGULIZI:
Idara hii ina vitengo vitatu ambavyo ni Majengo,Mitambo,Umeme na Magari.
1.1 DIRA NA MUELEKEO WA IDARA YA UJENZI.
idara inaendelea na itaendelea kusimamia miradi yote inayoipokea ikijumuisha miradi ya majengo na barabara kulingana na mingozo inayotolewa na road fund pamoja na ilani ya chama cha mapinduzi kwa kuzingatia usalama na ubora wa kazi.
2. MALENGO YA IDARA KATIKA UTOAJI WA HUDUMA.
Kuhakikisha miradi yote inayoifikia idara inasimamiwa kwa umakini kwa kuzingatia ubora,usalama katika miradi hiyo ili iendelee kuongeza kasi ya uchumi na manedeleo ya maeneo husika.
3. VITENGO VILIVYOPO NA MAJUKUMU YAKE
3.1 KITENGO CHA MAJENGO.
Idara inaendelea kusimamia miradi ya majengo mbalimbali ya Halmashauri ambayo inatekelezwa katika ngazi ya kata, vijiji na makao makuu ya wilaya.
KITENGO CHA UMEME, MAGARI NA MITAMBO.
Kupitia kitengo hiki idara inaendelea kufuatilia na kusimamia matengenezo mbalimbali ya magari ya halmashauri,mitambo mbalimbali iliyoko makao makuu na ile iliyoko katika kata na vijiji vyetu,pia kufanya matengenezo mbalimbali ya mifumo ya umeme katika majengo na miradi ya halmashauri kama inavyoonekana.
4.MAJUKUMU YA IDARA KWA UJUMLA.
Kusimamia shughuli zote zinazo husu ujenzi ikijumuisha usimamizi,uaandaaji wa makadilio ya miradi tunayoipokea ambayo ni miradi ya barabara na majengo.
Katika miradi ya barabara idara inajukumu la kusimamia na kuandaa makadilio ya matengenezo ya muda maalumu,matengenezo ya kawaida,matengenezo ya sehemu korofi.
Katika miradi ya majengo idara inajukumu la kusimamia miradi hiyo pia kwa miradi midogo idara ianaandaa makdilio ya miradi hiyo.
3.AINA ZA HUDUMA ZINAZOTOLEWA KWA JAMII MARA KWA MARA
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.