• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Idara ya Usafi na Mazingira

MAJUKUMU YA SEKTA YA USAFI NA MAZINGIRA:

Kuboresha hali ya usafi wa mazingira ya jiji la Tanga kwa kufanya yafuatayo:

  1. Kimarisha huduma za udhibiti wa taka ngumu, usafi wa barabara, maeneo na mifereji ya maji ya mvua.
  2. Kuratibu utoaji huduma za maji taka na kuimarisha usafi wa mazingira.
  3. Kusimamia huduma ya udhibiti wa hifadhi na usalama wa mazingira.
  4. Kuimarisha programu ya elimu jamii kuhusu usafi wa mazingira, uchangiaji ada za udhibiti taka na uzingatiaji wa sheria.
  5. Kuimarisha ukaguzi, usimamizi na ufuatiliaji wa usafi wa majengo na siha ya mazingira na afya ya jamii
  6. Kuimarisha ufuatiliaji na udhibiti wa magonjwa ya milipuko
  7. Kuimarisha huduma za udhibiti wa usalama na ubora wa chakula na vipodozi
  8. Kuimarisha huduma za udhibiti ubora na usalama wa maji na usafi wa mtu binafsi (Hygiene)

MFUMO WA UDHIBITI WA UCHAFUZI WA MAZINGIRA.

Wahusika katika utekelezaji wa sheria ngazi ya Kata/Mtaa

Majukumu katika utekelezaji wa sheria za usafi

Vikundi vya ulinzi shirikishi wa mazingira
Vikundi hivi vitakuwa na jukumu la kuhakikisha kila siku maeneo yote yanapata huduma ya uzoaji taka kwa mujibu wa ratiba.
Vitafuatilia na kuwachukulia hatua wale wote watakaobainika kutupa taka ovyo.
Auxilliary Police na Askari mgambo
Watakuwa muda wote (masaa ya kazi) katika vituo vyao vya kazi na watahakikisha watu hawatupi taka ovyo.
Watawakamata watu watakaobainika kutupa taka ovyo na kuwafikisha kwa Afisa afya wa Kata / Afisa Mtendaji wa Kata /Afisa Mtendaji wa Mtaa.
Maafisa Watendaji wa Kata na Mitaa
Wataongoza zoezi la udhibiti wa wachafuzi wa mazingira na kuratibu zoezi la utoaji adhabu na kusimamia utekelezaji wake.
Maafisa Afya wa Kata
Atakuwa msimamizi mkuu wa huduma za usafi wa mazingira katika Kata
Atasimamia utekelezaji wa matakwa ya sheria ikiwa ni pamoja na kuongoza taratibu za ukamataji wa wachafuzi wa mazingira na utekelezaji wa adhabu.
Mabaraza ya usuluhishi ya Kata
Watasuluhisha mashauri yanayohusiana na uchafuzi wa mazingira ikiwa ni pamoja na kutoa adhabu kwa wote wanaokaidi kufuata taratibu na sheria za usafi wa mazingira.

TARATIBU ZA UTOAJI ADHABU KWA WACHAFUZI WA MAZINGIRA

Baada ya kukamatwa kwa wale wanaokaidi sheria na taratibu za usafi, watatozwa faini ya papo kwa hapo kwa makosa yanayostahili. Faini hiyo itatozwa na Afisa Mtendaji wa Kata na ama Afisa mwingine yeyote aliye chini yake na ambaye amemwidhinisha kwa barua kufanya kazi hiyo.Kwa makosa yasiyostahili faini ya papo kwa hapo, watuhumiwa watafikishwa katika mabaraza ya usuruhishi ya kata ama mahakamani.

VIWANGO VYA ADHABU (FAINI)

i). Adhabu ya papo kwa hapo:-

  • Si zaidi ya shilingi 50,000/= au
  • Kufanya kazi ya kusafisha eneo la umma kwa masaa yasiyozidi nane (8)

ii). Adhabu ya mahakama:-

  • Si zaidi ya shilingi 50,000/= au
  • Kufanya kazi ya kusafisha maeneo ya umma kwa kipindi cha siku zisizozidi 5 (masaa 40) au kwenda jela kwa kipindi kisichozidi miezi 6 au vyote kwa pamoja.

Kufahamu Ada za Kuzoa Taka Ngumu, bonyeza hapa

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.