Imewekwa: February 25th, 2020
Kamishina jenerali wa jeshi la zimamoto na uokoaji nchini John Masunga amesema mikakati waliyonayo kwa sasa ni kuhakikisha Jeshi hilo linatoa huduma zenye ufanisi kwa Wananchi kote Nchini.
Kamishin...
Imewekwa: February 12th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa ameipongezaTARURA kwa kutatua kero mbalimbali za barabara katikaJiji la Tanga .
Mwilapwa ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kukagua miradi inayosimamiwa...
Imewekwa: February 12th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa amewataka wananchiwa Jiji la Tanga hasa wakazi wa kata ya Pongwe kutekeleza Mikataba waliyoyopeana na Halmashauri ya Jiji hilo ya kujenga Vibanda katika stendi...