Imewekwa: December 22nd, 2022
Mussa Labani, Tanga.
Naibu Meya wa Jiji la Tanga Mhe. Mwanaidi Kombo Chombo, leo, alhamisi Desemba 22, 2022, ameongoza kikao kazi cha Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Jiji la Tanga lililo...
Imewekwa: December 19th, 2022
Bw. Simba Mbarouk Kayaga wa Chama cha Mapinduzi, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Mnyanjani katika uchaguzi mdogo uliofanyika Desemba 17, 2022 na kushirikisha wagombea wa vyama vitano vya siasa.
...
Imewekwa: December 18th, 2022
Jumla ya vyumba vya madarasa 12,000 vya shule za awali na msingi za Serikali hapa nchini, vinatarajiwa kujengwa kwa kupindi cha miaka mitano kupitia mradi wa BOOST katika maeneo yenye upungufu au mson...