Imewekwa: July 12th, 2024
Na: Mussa Labani, Tanga.
Juni 28, 2024.
Katibu Tawala Mkoa wa Tanga (RAS), Ndg. Pili Mnyema, amewataka Maafisa Habari, Uhusiano na Mawasiliano Serikalini wa Mkoa wa Tanga, kutumia dhamana waliyo...
Imewekwa: July 12th, 2024
Na: Mussa Labani, Dar es Salaam.
Halmashauri ya Jiji la Tanga, kupitia Kitengo cha Mawasiliano Serikalini, imeshika nafasi ya tisa (9) kati ya Halmashauri 184 nchini, katika utoaji wa taarifa za ka...
Imewekwa: December 21st, 2023
Desemba 20, 2023.
Wataalamu kutoka Idara na Vitengo vya Halmashauri ya Jiji la Tanga, wamefanya kikao kazi cha kupitia Mpango Mkakati wa Halmashauri wa mwaka 2021/2022 - 2025/2026, kwa lengo la kua...