Imewekwa: May 12th, 2018
Imeandaliwa na; Aisha Bakari - TangaTV
Jumla ya Wazee 2703 wa Jiji la Tanga wamepatiwa kadi za bima ya afya ya jamii (CHF) leo. Zoezi la kugawa kadi hizo ambazo zimegusa kaya 1604, limefanyika kwen...
Imewekwa: May 10th, 2018
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Mustafa Seleboss amewataka Waheshimiwa Madiwani kutoingilia shughuli ya watendaji wa Halmashauri wa Jiji hilo na badala yake wawasaidie kutekeleza majukumu yao kwa ufan...
Imewekwa: May 7th, 2018
Halmashauri ya Jiji la Tanga, limekusidia kuwezesha vikundi vya wanawake na vijana, hayo yamesemwa leo na Mkurugenzi wa Jiji la Tanga, Bw. Daud Mayeji akiwa kwenye Baraza Maalum la Madiwani lilifanyik...