Imewekwa: May 1st, 2018
Viongozi, Wafanyakazi na wananchi mbalimbali wa Mkoa wa Tanga, leo wamejumuika kwenye uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga kusherehekea sikukuu ya wafanyakazi duniani, Mei Mosi.
Kama ilivyo kawaida wa ...
Imewekwa: April 25th, 2018
Mkuu wa Wilaya Tanga, Mhe. Thobias Mwilapwa hivi karibuni aliwaongoza watumishi wa serikali, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na wananchi katika zoezi la upandaji miji. Zoezi hilo ambalo lilifany...
Imewekwa: April 23rd, 2018
Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga, Bw. Mustapha Seleboss ambaye pia ni Mwenyekiti wa Kamati ya Fedha na Uongozi ya Jiji, amewataka mafundi wanaojenga na wataalam wanaosimamaia ujenzi kwenye vituo vya afy...