Imewekwa: December 9th, 2022
Katika kukabiliana na mabadiliko ya Tabia ya nchi, Jamii wilayani Tanga, Imetakiwa kupanda miti katika maeneo mbalimbali kama Shule, hospital na vyanzo vya maji ili kutunza mazingira.
Hayo yamesemw...
Imewekwa: November 3rd, 2022
Na: Kazwika Juma
Uwepo wa Baadhi ya Madereva wa vyombo vya moto wasiofuata Sheria za Barabarani imetajwa kuwa chanzo cha Ajali ambazo zimekuwa zikitokea katika maeneo yanayozunguka Shule.
Taasis...
Imewekwa: October 29th, 2022
Kamati ya lishe ya Halmashauri ya Jiji la Tanga iliyokutana Oktoba 28, 2022, imepokea taarifa ya utekelezaji wa shughuli za lishe kwa kipindi cha robo ya kwanza ya mwaka wa fedha 2022/2023 iliyowasili...