Imewekwa: May 6th, 2019
Leo Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Harrison Mwakyembe ametembelea kiwanja kinachotarajiwa kujenga kituo cha michezo kata ya mnyanjani jijini tanga.
Serikali kupitia Wizara ...
Imewekwa: April 16th, 2019
Mkuu wa mkoa wa Tanga mhe.Martin Shigela ametembelea mradi wa ujenzi wa Hospital na Vituo vya Afya unaondelea katika jiji la Tanga leo ikiwa ni moja kati ya Halmashauri 11 za Mkoa wa Tanga.
Katika ...
Imewekwa: February 27th, 2019
Halmashauri ya jiji la Tanga imepokea jumla ya sh.Mil.700 kutoka Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ikiwa imelenga kuboresha Kituo cha Afya Duga ili kiweze kutoa huduma za a...