Imewekwa: April 3rd, 2020
Baadhi ya watendaji kata jijini tanga wamesema wametekeleza agizo la Mstahiki Meya wa Jiji Mustapha Seleboss la kutoa elimu juu ya kujikinga na maambukizi ya virusi vya corona katika kata zao hu...
Imewekwa: March 30th, 2020
Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa amekishukuru chama cha usafirishaji abiria Mkoa wa Tanga (TAREMIA) kwa kutoa msaada wa vifaa vya kunawia mikono Madumu (22) kama jitihada za kuunga...
Imewekwa: March 30th, 2020
Halmashauri ya jiji la Tanga imeendelea kupambana na maambukizi ya virusi vya homa kali ya corona ambapo Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mustapha Seleboss amewataka madiwani kuwa mabalozi n...