Uchangiaji wa gharama za udhibiti taka ngumu ni muhimu ili kukidhi mahitaji ya udhibiti wa taka hizo ambao hufanywa na Halmashauri ya Jiji la Tanga.
1: Fahamu kiwango cha Ada ya kuzoa taka ngumu unachotakiwa kuchangia kwa mujibu wa sheria
2: Wasiliana na ofisi ya Afisa Mtendaji wa Mtaa wako ama ofisi ya Afisa Mtendaji wa Kata yako kwa malipo.
3: Pata stakabadhi halali ya halmashauri ya jiji la Tanga kwa malipo haya iliyotolewa kwa kutumia mashine ya kielektroniki.
4: Shirikiana na Halmashauri ya Jiji katika kuhakikisha jiji linakuwa safi na lenye kupendeza kwa kuwa na huduma iliyo bora ya usafishaji mazingira, kuwa na uwezo wa kutosha kuondosha taka na kuzipeleka kwa udhibiti ili zisilete madhara kwa binadamu na mazingira kwa ujumla.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.