Bw. Simba Mbarouk Kayaga wa Chama cha Mapinduzi, amechaguliwa kuwa Diwani wa Kata ya Mnyanjani katika uchaguzi mdogo uliofanyika Desemba 17, 2022 na kushirikisha wagombea wa vyama vitano vya siasa.
Uchaguzi huo umefanyika kufuatia kifo cha aliyekuwa Diwani wa Kata hiyo, Mhe. Yakub Nuru Othman kilichotokea Mei 15, 2022.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.