Halmashauri ya Mji wa Tanga ilipandishwa hadhi kuwa Manispaa mwaka 1983, Manispaa ya Tanga ilipandishwa hadhi na kuwa Jiji la Tanga mwaka 2005.
Halmashauri ya Jiji la Tanga imeongozwa na Waheshimiwa Mameya 6 na Wenyeviti 5 kama ifuatavyo:-
Na. |
Jina
|
Kipindi cha Uongozi
|
1
|
Mustapha Seleboss
|
2015 - hadi sasa…
|
2 |
Omari Guledi
|
2010 - 2015
|
3 |
Kassim S. Kisauji
|
1998 - 2010
|
4 |
Magambo A. Magambo
|
1995 - 1997
|
5 |
Kassim Liku
|
1985 - 1995
|
6. |
Hussein Mkumbwa
|
1982 - 1984 (Naibu Meya)
|
7 |
Magambo A. Magambo
|
1978 - 1982
|
8 |
Madarakani Mikoani
|
1974 - 1978
|
9 |
Hemedi Payo Chuma
|
1969 - 1973
|
10 |
Kombo S. Kassim
|
1964 - 1969
|
11 |
Mwakitwange
|
1961 - 1964
|
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.