• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

WAZIRI MWIJAGE AZITAKA HALMASHAURI KUPUNGUZA BEI ZA VIWANJA VYA VIWANDA

Imewekwa: May 26th, 2018

Waziri wa Viwanda Biashara na Uwekezaji Charles Mwijage amezitaka halmashauri zote nchini kuweka bei ya chini katika kuuza viwanja kwa ajili ya ujenzi wa viwanda,  Waziri Mwijage ameyasema hayo leo akifungua maonyesho ya sita ya biashara ya kimataifa Mwahako jijini Tanga.

“Kwa kumuuzia bei cha chini huyu mwekezaji, kutamfanya asitumie mtaji wake wote kwa kununua kiwanja tuu, bali kutamfanya apate kiwanja na mtaji wa kuanza kujenga kiwanda ambacho kitatengeneza ajira kwa wananchi wengine kwa haraka. Na uwepo wa viwanda kuna faida mbili, moja halmashauri kupata mapato na ajira kwa wananchi wetu” alisema waziri Mwijage

Akiwa kwenye ufunguzi wa maonyesho hayo, Mwijage amesema kuwa jiji la Tanga ni sehemu inayoongoza kwa viwanda vingi hivyo wawekezaji waendelee kujitokeza ili kuendelea kukuza pato la taifa kiuchumi.

Pia amewapongeza wajasiriamali kwa kuendelea kukuza uchumi wa viwanda vidogovidogo na kuwataka vijana kufanya kazi kwa bidii kwani wao ndio mhimili mkubwa katika kuongezea kipato taifa .

Jiji la Tanga lipo kwenye mazingira mazuri ya kufanya uwekezaji hasa kwa kuzingatia eneo la uwepo wake. Jiji hili lina njia za usafirishaji kwa kutumia barabara, reli, ndege na usafiri wa majini kwa maana ya kuwepo kwa bandari. Miundombinu ya  barabara zilizopo Jiji Tanga zinamfanya mwekezaji kufanya mawasiliano na mikoa yote nchini na nchi jirani ya Kenya kwa barabara za lami.

Maonesho ya kimataifa ya biashara yanafanyika Jijini Tanga kuanzia tarehe 26 Mei na kumalizika tarehe 6 Juni, yakiwa yanashirikisha wadau mbalimbali wakiwemo wajasiliamali, makampuni, mashirika na taasisi za serikali. Washiriki hao wanatumia maonesho hayo kuonesha shughuli wanazofanya, kuonesha bidhaa wanazozalisha, kuuza bidhaa, kutoa ushauri, kutatua kero hali kadhalika na kutoa huduma kwenye viwanja vya maonesho.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.