• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

“Wahe.Madiwani wenzangu nawakumbusha kutekeleza yale tuliyoahidi” Mstahiki Meya

Imewekwa: December 15th, 2020

Katika Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani lililoongozwa na Mstahiki Meya Mhe. Abdurahman Shiloow Diwani wa Kata ya Mzingani aliyethibitishwa leo Disemba 15, 2020 kuwa Mstahiki Meya wa jiji la Tanga kwa kura zote za Ndiyo, amewakumbusha Madiwani kuwa wanadeni kubwa kwa wananchi wa Jiji la Tanga za kutimiza yale waliyoahidi ya kuwaletea Maendeleo na utatuzi wa kero zilizoko kwenye maeneo yao.

“tunajukumu la kuwasaidia wananchi kuwaletea maendeleo lakini na kuwatafutia ufumbuzi wa kero zao ,niwatake mwende mkawe sehemu ya majibu ya kero zao badala ya kuwa watazamaji tu bila kuchukua hatua stahiki za kumaliza kero hizo,” Alisema Mstahiki Meya.


Naye Katibu Tawala wa Wilaya ya Tanga ambaye alikuwa Mwenyekiti wa Mkutano huo kabla ya kumchagua Mstahiki Meya Bi. Faidha Salimu aliwataka madiwani kwenda na kasi ya Maendeleo ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.John Joseph Magufuli kwa kuhakikisha kila diwani katika Kata yake analeta Maendeleo kwa vitendo.

Aliongeza pia kuwa Madiwani wanawajibu wa kuwa walinzi wa amani kwenye maeneo yao kutokana na kuibuka kwa viashiria vya uvunjifu wa amani ikiwemo vitendo vya ukabaji na wizi.“waheshimiwa Madiwani nawaomba mkawe mabalozi wa kuhamasisha ulinzi na usalama  kwani tayari tunataarifa za uwepo wa vikundi vya watu ambavyo vimeanza kutishia hali ya usalama kwenye maeneo yenu, hivyo kupitia nyie mtaweza kubadilisha hiyo hali,” Alisisitiza Katibu Tawala.

Baraza la Madiwani la Halmashauri ya jiji la Tanga linaundwa na jumla ya madiwani 36, wa kuchaguliwa 27 na Viti maalum 9 kutoka kata ambao wote wametokana na chama cha Mapinduzi (CCM),watahudumu kwa kipindi cha miaka mitano (2020-2025).

Kushoto Mbunge wa Mkoa wa Tanga Mhe. Eng Mwanaisha Ulege, katikati Mbunge wa jimbo la Tangamjini Mhe.Ummy Mwalimu na kulia ni Diwani wa kata ya Mzingani ambaye ni Mstahiki Meya.

                                                                                                                 Wahe.Madiwani wakisikiliza kwa makini uwasilishaji wa Taarifa za utekelezaji kwa miezi 6.

                                                                                                                  Wahe.Madiwani wakisikiliza kwa makini matukio yanayoendelea katika Ukumbi.

                                                                                                                 Wahe.Madiwani wakila kiapo katika  Mkutano wa kwanza wa Baraza la Madiwani.

                                                                                                                 Wahe.Madiwani wakisikiliza kwa makini uwasilishaji wa Taarifa za utekelezaji kwa miezi 6.

                                                                                                                  Wakuu wa idara wakiwa katika Mkutano wa Baraza la Madiwani.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.