• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Mwilapwa akipongeza chama cha U safirishaji TAREMIA

Imewekwa: March 30th, 2020

Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa amekishukuru chama cha usafirishaji abiria  Mkoa wa Tanga (TAREMIA) kwa kutoa msaada wa vifaa vya kunawia mikono Madumu  (22) kama jitihada za kuunga mkono Serikali katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa corona katika stendi nne zilizopo Jijini Tanga.

Akiwashukuru Wasafirishaji hao  Mwilapwa amesema kuwa mpaka hivi sasa Tanga haijapata mshukiwa yoyote wa virusi vya corona kwani wahudumu wa afya wanatoa elimu kwa jamii kwa kuzingatia usafi pamoja tahadhari zote zinazotolewa na serikali.

“Na mimi nakili kupokea na ninawashukuru sana kwamba somo lilieleweka zaidi ya kutoa elimu mumekusanyanya na kuchanga mlichobalikiwa ili muweze kutoa msaada katika vituo kama mlivyosema kila katika kituo cha usafiri  mmeweza kutoa  na chombo cha maji ya kutililika  “,.Alisema Thobias Mwilapwa

Mbali na shukrani hizo pia Mkuu wa Wilaya  huyo aliwataka wananchi kuzingatia maagizo wanayopewa hasa wasafiri na vyombo mbalimbali .

Sambamba na hayo pia amewataka makonda kupunguza tabia ya kuwajaza abiria katika daladala na kuwataka kufuata agizo la kukaa usawa wa siti zilizopo ili kuweza kuendelea kujikinga na ugonjwa wa corona .

Kwa upande wake mwenyekiti na katibu wa chama cha usafirishaji abiria mkoa wa tanga Ismaili Masudi na Juma Kipingu wamesema lengo la kutoa msaada ni kuhakikisha wananchi wa Jiji la Tanga hawapati maambukizi ya virusi vya corona .

“Mheshimiwa Mkuu wa Wilaya hili zoezi lote ni maagizo yako kwaajiliya kuwasaidia Wananchi wa Jiji la Tanga pamoja na abiria wetu ambao wanasafiri kwenye stendi zetu nne kwani hivi vyombo vinakwenda katika stendi hizo “,.Wamesema viongozi wa chama cha usafirishaji abiria Mkoa wa Tanga

Aidha Mkuu wa Wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa alisema kuwa kutokana najitihada zinazofanywa na wadau pamoja na Serikali juu ya kupiga vita ugonjwa wa corona Jiji la Tanga Litashinda .

 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.