• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Mkuu wa Mkoa wa Tanga awataka Maafisa Ardhi kuweka Kambi kila kata kutatua migogoro

Imewekwa: September 5th, 2019

Mkuu wa Mkoa wa Tanga  Mhe .Martine Shigela  amewataka  wananchi wa  kata  ya Tangasisi ambao wana migogoro ya ardhi kujitokeza na kutoa vielelezo ili wapewe haki zao. 

Ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya kusikiliza na kutatua kero  za wananchi katika kata hiyo na kata zote 27 za  jiji  Tanga.

Mhe. Shigela amesema kuwa kila mwananchi ambae anavielelezo vya umiliki wa eneo anatakiwa kuvitoa ili kupewa haki anayostahiri na kama hana haki ya kupewa  aandikiwe barua inayoeleza kuwa hana haki ya eneo hilo kwa mujibu wa sheria.

“nitatuma watu wangu kutoka  mkoani na vyombo vya dora waje waweke kambi ya wiki nzima hapa wamusikilize mtu mmojammoja atoe vielelezo vyake na kama anahaki wamuandikie haki yake anayostahiri kupewa na kama eneo lake  haki yake  haipo  aandikiwe barua ya majibu kwamba kwa mujibu wa kifungu hiki tumejilidhisha haki yako haipo kwa sababu eneo hilo ni mali ya mtu mwingine   “amesema Mkuu wa Mkoa wa Tanga  Mhe .Martine  Shigela. 

Pia amemtaka Diwani wa kata hiyo  kupita na kutangaza kwa wananchi kuwa wale wote wenye migogoro ya Ardhi walioiwasilisha kwa Mkuu wa Mkoa kuwa  wataalamu watakuwepo katika Ofisi ya kata kuanzia tarehe watakayo tangaza na kuwapanga waende kimitaa ili kurahisisha kazi  hiyo.

“Nikuombe Mhe Diwani wa Kata hii wataalamu Wa Kupamba Ratiba ya kupita kata kwa kata, gari la matangazo limite na kuwatangazia wananchi kuwa kuanzia tarehe fulani  wataalamu watakuwepo kwaiyo wote mliotoa  malalamiko yenu kwa Mkuu wa Mkoa jitokezeni na vilelezo vyenu na kuwapanga wajitokeze kwa Kila Mtaa “ameyasema hayo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe . Martine  Shigela .

Akihitimisha ziara hiyo Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Martine  Shigela amewataka Maafisa Ardhi  kuweka kambi kila kata ili kutatua migogoro  ya Ardhi ambayo imeonekana kukithiri katika Jiji la Tanga na baada ya kukamilika ripoti ya utatuzi wa migogoro hiyo ifike Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.