• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

MICHE YA TIKI 2500 YAPANDWA JIJI TANGA

Imewekwa: April 25th, 2018

Mkuu wa Wilaya Tanga, Mhe. Thobias Mwilapwa hivi karibuni aliwaongoza watumishi wa serikali, Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Wilaya na wananchi katika zoezi la upandaji miji. Zoezi hilo ambalo lilifanyika kwenye eneo la shamba la miti na hifadhi ya mazingira Mleni lililopo pembezoni kidogo mwa Jiji la Tanga liliungwa mkono na Mkurugenzi wa Jiji hilo pamoja na wakuu wake wa idara.

Jumla ya miche ya tiki 2500 ilipandwa katika eneo la ekari tatu (3) kati ya ekari nane (8) lililotayarishwa. Upandaji utaendelea kwa kipindi chote cha mwaka. Akieleza faida za mradi huo Afisa Maliasili wa Jiji la Tanga bw. Aneny Nyirenda, ambaye ni msimamizi mkuu wa shamba hilo aliseme “Mbali ya kutoa ajira kwa wananchi, mradi huu una faida nyingine nyingi kama; Kutunza mazingira kwa kuongeza hifadhi ya hewa ya kaboni   (carbon stock), kutumika kama Shamba darasa linalohamasisha watu kupanda miti yenye thamani na ufugaji wa nyuki, Kulinda aridhi ya Umma dhidi ya wavamizi na pia ni Kitega uchumi cha Halmashauri ya Jiji yaani ni moja ya rasimali muhimu”.

Eneo la shamba lina ukubwa wa Ekari 161 lilitwaliwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga kwa lengo la kuhamasisha utunzaji wa mazingira kutokana na hali ya jangwa inayolikabili eneo hili. Kwa kipindi chote shamba hili liliachwa vichaka vya asili. Mnamo mwaka 2009 Halmashauri iliamua kuliendeleza kwa kupanda miti ya Tiki, ambapo hadi sasa ekari 41.5 zimepandwa jumla ya miti 40,150.

Shughuli nyingine zinazofanyika katika shamba hili ni ufugaji wa nyuki na hadi sasa kuna mizinga 8 ya nyuki. Mizinga hii ina uwezo wa kuzalisha lita 320 za asali kwa mwaka.





Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.