• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

JIJI LA TANGA LATOA MIKOPO YA BILLION 2.08 KWA MWAKA 2021/2022

Imewekwa: October 29th, 2022

Halmashauri ya Jiji la Tanga imefanikiwa kuongeza kiwango cha utoaji wa fedha za mikopo kwa vikundi vya kiuchumi vya wanawake, vijana na wenye ulemavu kutoka katika asilimia kumi (10%) ya mapato yake ya ndani, ambapo kwa mwaka wa fedha 2021/2022 jumla ya shillingi Billion 2,088,530,000.00 zimetolewa kama mikopo isiyo na riba kwa makundi hayo ili kuwawezesha kiuchumi, kulinganisha na Million 943 kwa mwaka 2020/2021.


Kiwango hicho cha fedha, kinajumuisha fedha zilizopangwa kutoka Bajeti ya mapato kwa mwaka huo, kiasi cha Billion 1,115,607,800.00 pamoja na fedha za marejesho ambazo nazo zimeingia katika mzunguuko wa ukopeshaji.


Akikabidhi mfano wa hundi zenye thamani ya shillingi million 377 kwa vikundi 43 (Wanawake vikundi 31 wakipokea jumla ya shillingi million 266, Vijana vikundi 6 Tsh. 83 M na wenye ulemavu vikundi 6 Tsh. 28 M), ambapo vinahitimisha awamu ya nne ya utoaji kwa mwaka 2021/2022, Mstahiki Meya wa Jiji la Tanga Mhe. Abdulrahman Shiloow amewataka wanavikundi hao kuzingatia mipango yao na kufanya biashara zenye tija ili warudishe mkopo na kupata faida ya kazi na kubadili hali zao za maisha.


Amesema fedha hizo sio za bure, ni mkopo, hivyo wanapaswa kufanya utafiti wa biashara sio kuiga kwa mwingine.


Mheshimiwa Shiloow ambaye alikabidhi hundi hizo kwa niaba ya Mbunge wa Jimbo la Tanga Mjini na Waziri wa Afya, Mhe. Ummy Mwalimu, aliwataka wakazi wa Jiji la Tanga kuwa na imani na Mbunge wao kwa jinsi anavyofanya kazi kubwa ya kuwaletea maendeleo,  na kwamba kila shughuli ya maendeleo, mkono wake upo, na kwamba alipenda awepo katika tukio hilo.


Awali, Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Dkt. Sipora Liana alisema vikundi vinavyopata mkopo safari hii vimetumia njia ya mtandao katika kujaza taarifa zao na kwamba elimu na mafunzo yametolewa kwao na maafisa kutoka Idara ya Maendeleo ya Jamii.


Kwa upande wake Mkuu wa Idara ya Maendeleo ya Jamii Jiji la Tanga Bw. Simon Mdende amesema hali ya marejesho inakwenda vizuri na kwamba vipo vikundi vilivyomaliza mkopo na sasa wanapata kwa awamu ya pili.


Matangazo

  • UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI KWA DARASA LA AWALI NA LA KWANZA 2023 December 09, 2022
  • MSAMAHA WA RIBA KWA KODI YA PANGO September 28, 2022
  • MKUTANO MAALUM WA BARAZA LA MADIWANI September 28, 2022
  • UANDIKISHAJI WA WANAFUNZI KWA DARASA LA AWALI NA LA KWANZA 2023 December 09, 2022
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • HALMASHAURI YAJITOA SAKATA LA UMILIKI UWANJA WA MZALENDO

    February 03, 2023
  • KAMATI YA SIASA CCM WILAYA YAKAGUA MIRADI

    January 27, 2023
  • ASILIMIA 85 WARIPOTI KIDATO CHA KWANZA TANGA JIJI.

    January 21, 2023
  • MGANDILWA: TUTACHUKUA HATUA KALI KWA WAZAZI NA WALEZI WASIOPELEKA WATOTO SHULE.

    January 12, 2023
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.