Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Chumbageni, Mheshimiwa ERNEST KIMAYA, amefariki siku ya Jumatatu, Desemba 30, 2024, majira ya saa 11:30 jioni katika Hospital ya Ocean Road Mkoani Dar es Salaam, alipokuwa akipata matibabu,
Marehemu Kimaya amezikwa nyumbani kwao Mnyuzi, Wilayani Korogwe siku ya alhamisi Januari 2, 2025.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.