• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Bank ya posta Tanzania TPB yatoa madawati na thamani za walimu kwa shule ya Pongwe

Imewekwa: August 15th, 2019

Bank ya posta Tanzania TPB   imetoa madawati na thamani za walimu kutokana na ombi la uhaba wa shule ya Pongwe  jambo linalopelekea kuwa wengi  na kusababisha wanafunzi hao kutojifunza vizuri  kutokana na mrundikano mkubwa wawapo madarasani .

Mkuu wa wilaya ya Tanga  Thobias  Milapwa ameipongeza bank hiyo kwa msaada walioutoa  na kuwaomba waendelee kusaidia  kwani  bado inamahitaji makubwa ambayo bado yanahitajika shuleni hapo

“kwaiyo nyinyi wenyewe mnaweza mkachukua hatua kwa vile mmeshasikia fanyeni hivyo lakini  tunawashukuru sana  kwa hichi mlicho tusaidia na tunapata moyo sisi kwamba hata tutakapokuwa tunatoa maombi mengine tunasema tunawatu ambao wanatusaidia”amesema Thobias  Milapwa  

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Posta Tanzania  Sabasaba Moshingi  amesema wanafarijika sana kuwa katika jiji la Tanga  na wamesikia changamoto ambazo watu hao wanazo na wakipata chochote hawatasita kuwasaidia

“Tumefarijika sana kuwa hapa katika jiji la tanga na tutajitahidi kukabiliana na changamoto zilizopo lakini pia bank yetu imefarijika sana kuwepo hapa”Amesema Thobias  Moshingi 

Waziri  Kamba ni makamu mkuu wa shule msingi pongwe na  Merieni  Kanjami ni afisa mtendaji wa kata ya pongwe  wameeeleza namna shule hiyo ilivyo na mahitaji makubwa

“uhaba wa vyumba vya madarasa ni 11 ambapo mahitaji halisi ya madarasa ni vyumba 25na vilivyopo ni 14 na kati ya vyumba hivyo vyumba 8 ni vichakavu na vinahitaji ukarabati mkubwa pia shule inahitaji maji  kwani yapo maji ya bomba ambayo wanatumia luku na matumizi yanatumia jumla ya shillingi laki nne kwa mwezi gharama ambayo shule inashindwa kuimudu”wamesema Merieni  Kanjami  naWaziri   Kamba 

Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Tanga   Ramadhan  Possi  amesema Halmashauri imetenga kiasi cha shillingi milioni miamoja kwa mwaka wa fedha ikiwa ni makusanyo ya ndani kwaajili ya kuboresha miundombinu ya shule hiyo na kutatua changamoto zote zilizopo.

“Tunatambua shule hii inamahitaji ,mengi kama ilivyosomwa kuna upungufu wa madawati na kama halmashauri tunalitambua kwamba mahitaji hapa ni mengi kwaiyo tunatafuta mbinu itakayo saidia kutatua changamoto hizo”amesema Ramadhan  Possi 

Elimu ni ufunguo wa maisha kwa hivyo tunapaswa kujitolea kusaidia pale tunapoona kun changamoto zozote  katika jamii.

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.