• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
      • Siku za Kumuona Mstahiki Meya
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Afisa Elimu wa Jiji la Tanga Khalifa Shemahonge amewataka Wasimamizi wa mitihani ya darasa la saba kuzingatia maadili ya kazi

Imewekwa: September 10th, 2019

Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Ndugu Khalifa Shemahonge ametoa rai  kwa walimu ambao watahusika kusimamia mitihani ya darasa la saba inayotarajiwa kuanza siku ya jumatano  na kumalizika Alhamisi kusimamia maadili ya kazi kwa kuzingatia taratibu,kanuni na sheria za  mitihani ili kupata wataalamu ambao watalijenga taifa .

 Mwalimu Shemahonge ameitoa rai hiyo  alipokuwa akizungumzia maandalizi ya mitihani ya darasa la saba  amesema Halmashauri ya jiji la Tanga ina jumla  ya shule 100 ambapo shule 21 Binafsi na za serikali 79 ambazo zitafanya mitihani ya kuhitimu elimu ya msingi huku idadi ya wanafunzi ambao wamesajiliwa kufanya mtihani 7401,wasichana 3875 na wavulana ni 3526.

“Mimi nitoe rai kwa walimu watakao simamia mtihani bila shaka wamepewa maelekezo vizuri kikubwa wazingatie taratibu za mitihani lakini pia nidhamu ya kipekee nishauri walimu husika wawe makini kwa sababu wanatengeneza maisha ya watu pamoja na Taifa la kesho hili  eneo  ni muhimu sana ambalo ni lazima wawe makini “Amesema Afisa Elimu  wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Khalifa Shemahonge.

Pia  ametoa wito kwa wanafunzi wanaofanya mitihani hiyo kumshirikisha mwenyezi mungu kwa kuomba Dua na Sala mbalimbali kila mtu kwa dini yake kwani mtihani wanaoufanya ni kama mazoezi ya darasani kwani hamna kitu kigumu vyote wamesoma madarasani  .

Aidha Shemahonge amepongeza juhudi za Mkuu wa Mkoa wa Tanga za  kuwataka wanafunzi ambao wapo kwenye Madarasa ya mitihani kuwa kwenye makambi jambo ambalo litasaidia kuongeza ufaulu kwa mwaka huu ukilinganisha na miaka ya nyuma .

“Tunatekeleza haya maelezo ya  Mkoa au maadhimio ya kikao cha Handeni ,Mwezi wa sita wakati wa likizo wanafunzi wote walisoma ,walikaa kambi  na walikula mchana  tumekuwa tukifanya tathimini kila wiki katika kipindi cha kambi na hatujaacha mpaka mwisho kuweza kuangalia kwamba matokeo yalibadilika, kwa mapenzi ya mungu tunatarajia matokeo ya mitihani hii yatakuwa mazuri zaidi.”Amesema Afisa Elimu wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Khalifa Shemahonge

  Darasa la saba  wanatarajia kuanza mitihani yao ya kuhitimu elimu ya msingi  siku ya  Jumatano na Alhamis  ya  tarehe 11,12 mwezi huu ,hivyo tunapaswa kushirikiana vyema kuwaandaa watoto wetu ili waweze kufanya vizuri katika mitihani yao.

                                                                                                                                         Afisa Elimu Msingi wa Halmashauri ya Jiji la Tanga Ndugu Khalifa Shemahonge 

                                                                                     akitoa rai kwa wasimamizi wa mitihani ya Darasa la sabaJjijini Tanga. 

Matangazo

  • TANZANIA CITIES TRANSFORMING INFRASTRUCTURE AND COMPETITIVENESS (TACTIC) PROJECT IDA CREDIT NO. 7151-TZ. March 09, 2025
  • MAJINA YA WALIOITWA KWENYE USAILI HALMASHAURI YA JIJI TANGA September 27, 2024
  • TAARIFA YA MSIBA September 18, 2024
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI July 26, 2024
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • TANGA: MABORESHO DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA KUANZA FEB. 13, 2025

    February 04, 2025
  • MENEJIMENTI WAPONGEZWA UTEKELEZAJI MIRADI, UMALIZIAJI WA VIPORO.

    February 04, 2025
  • AFUA ZA LISHE ZAFANYA VIZURI TANGA JIJI

    January 24, 2025
  • KAMATI YA FEDHA NA UONGOZI YAKAGUA MIRADI.

    January 16, 2025
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.