Saturday 21st, December 2024
@Uwanja wa Ofisi Kuu ya Jiji la Tanga
Mwaliko wa kuhudhuria katika shughuli ya Uhamasishaji na Ugawaji wa kadi za Mfuko wa Afya ya Jamii (CHF) kwa wazee 2,703 waliolipiwa na Halmashauri ya Jiji la Tanga. Mgeni rasmi kwenye shughuli hii ni Mhe. Ummy Mwalimu - Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto. Shughuli hii itafanyika kwenye Uwanja wa Ofisi Kuu ya Jiji la Tanga, kuanzia saa tatu asubuhi.
Wananchi wote mnakaribishwa.
Imetolewa na:
MKURUGENZI WA JIJI LA TANGA
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.