Saturday 21st, December 2024
@VIWANJA VYA MWAHAKO JIJINI TANGA
Maonesho ya Kimaitafa ya Sita ya Biashara yatafanyika Jijini Tanga kwenye viwanja vya Mwahako njia ya kuelekea Pangani. Kwenye maonesho haya wadau mbalimbali watashiriki kuonesha biashara na shughuli zao wanazofanya.
Nyote mnakaribishwa.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.