Saturday 21st, December 2024
@Ukumbi wa Tangamano
Mafunzo ya usajili wa vikundi vya kiuchumi wa kijamii kwa Vikundi vilivyo ndani ya Jiji la Tanga. Mafunzo haya yataendeshwa na Afisa Maendeleo ya Jamii wa Jiji la Tanga kwenye ukumbi wa Tangamano.
Vikundi vya Wanawake, Vijana, Walemavu na Mchanganyiko vinakaribishwa.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.