Sekta ya Mifugo inajishughulisha na uboresha wa ng’ombe wa asili na ng`ombe wa maziwa na mazao yake pamoja na malisho ya wanyama ambapo katika Halmashauri ya Jiji yetu eneo pekee na rasmi linalotambuliwa kwa ufugaji ni eneo la vijana Pingoni ambalo lina ukubwa wa Ha. 1407.5 zilizogawanywa kwa viwanja. na Ekari zaidi ya 1,085 zimetengwa kwa ajili ya ufugaji wa asili na hekta 2,295 kwa ajili ya wafugaji wa kati.
IDADI YA MIFUGO
Halmashauri ya Jiji ina ng'ombe wa asili 28,513,Ng'ombe wa kisasa wa maziwa 15,099, mbuzi 26,791, mbuzi wa maziwa 7,902, Kondoo 8,055, Kuku wa asili 217,929, Kuku wa kisasa wa mayai ni 194,572, Kuku wa kisasa wa nyama ni 304,609 na Nguruwe ni 6,421
MAZAO YA MIFUGO
Miundombinu ya Mifugo
Aina ya Miundombinu
|
Yaliyopo
|
Yanayofanya kazi
|
Yasiyofanya kazi
|
Majosho ya ng’ombe
|
11
|
6
|
5
|
Majosho ya mbwa
|
2
|
1
|
1
|
Machinjio
|
1
|
1
|
-
|
Makaro ya kuchinjia(slaughter house)
|
2
|
2
|
-
|
Vituo vya mifugo
|
5
|
5
|
-
|
Maduka ya pembejeo(mifugo)
|
21
|
21
|
-
|
Lambo
|
5
|
5
|
-
|
Viwanda vya maziwa
|
2
|
2
|
-
|
Mnada
|
-
|
-
|
-
|
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.