• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Uwekezaji katika maeneo ya Viwanda

Uwekezaji katika maeneo ya viwanda(industrial parks) vya kuzalisha bidhaa mbalimbali katika maeneo ya Gofu chini, Pongwe, Amboni, Pingoni (Maweni) na Neema katika Barabara ya Pangani. Kuna jumla ya viwanja 282 vyenye ukubwa wa wastani wa ekari kati 1.5 hadi 6.5 kwa kila kiwanja maeneo hayo ni kama ifuatavyo:-

Eneo la Viwanda la Kange

Eneo hili lina ukubwa wa Hekta 34.5 ambapo jumla ya viwanja 55 vinamilikiwa na Shirika la Maendeleo la Taifa (NDC)

Viwanja hivi vipo umbali wa kilomita saba (7) kutoka Tanga Mjini katika barabara ya Tanga -Segera ambapo limemilikishwa kisheria kwa Shirika la Maendeleo la NDC lakini halijaendeleza. Vilevile viwanja hivi vinafaa kwa ujenzi wa viwanda kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa za nje na viwanda vinavyopendekezwa katika uzalishaji huu ni pamoja na usindikaji wa samaki, vyakula,  matunda,viwanda vya mafuta,nguo,chuma,samani pamoja na vifaa vya umeme.

Eneo la Viwanda EPZA

Eneo hili lina ukubwa wa Hekta 1300 ambalo lipo eneo la Neema barabara ya Tanga Pangani, na eneo hili limepimwa ila bado halijaendelezwa.Eneo hili linafaa kwa ujenzi wa viwanda kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa za aina mbalimbali kwa ajili ya kukidhi soko la ndani na nje ya nchi. Miongoni mwa viwanda vinavyopendekezwa ni pamoja na usindikaji wa samaki, vyakula, matunda na viwanda vya mafuta,nguo,chuma,samani pamoja na vifaa vya umeme.

Eneo la Viwanda  Gofu chini

Eneo hili limepimwa na lina ukubwa wa mita za mraba 7,242. Lipo maeneo ya viwanda Gofu kiwanja Na.184, linamilikiwa na Halmashauri ya Jiji.Eneo hili lina miundombinu yote ikiwemo umeme, maji na mtandao wa barabara za lami.

Eneo hili linapendekezwa kujengwa kiwanda kwa ajili ya usindikaji wa muhogo ambao unapatikana kwa kiasi kikubwa Jijini Tanga pamoja na Wilaya za jirani za Mkinga na Pangani.

Eneo la Viwanda Pongwe

Eneo hili lipo umbali wa km 15 kutoka katikati ya Mji na linamilikiwa na Kampuni ya Tanga Economic Corridor kampuni inayomilikiwa kwa ubia kati ya Halmashauri ya Jiji la Tanga na Kampuni ya Good PM toka Korea. Eneo lina jumla ya viwanja 68 kwa ajili ya ujenzi wa viwanda. Eneo hili limepimwa lakini bado halijaendelezwa kwa kuwa bado halijapata muwekezaji

Eneo hili linafaa kwa ujenzi wa viwanda kwa ajili ya uzalishaji wa bidhaa za aina mbalimbali kwa ajili ya kukidhi soko la ndani na nje ya nchi kama vile vifaa vya kilimo, samani,vifaa vya umeme, mbolea,usindikaji wa vyakula,viwanda vya chuma n.k.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato Cha Nne 2020 January 15, 2021
  • Fomu za kujiunga na Kidato Cha Kwanza kwa Sekondari za Tangajiji 2020 December 21, 2020
  • Mkutano wa kwanza wa Baraza jipya la Madiwani December 14, 2020
  • Orodha ya Wanafunzi waliochaguliwa kujiunga na kidato cha kwanza mwaka 2020 December 16, 2020
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Kilio cha bili kubwa za maji kwa wananchi wa Jiji la Tanga sasa kupatiwa Ufumbuzi

    December 30, 2020
  • “Naahidi Mifuko ya Simenti 600 kutoka kwenye Mshahara wangu” Mhe.Ummy Mwalimu

    December 27, 2020
  • “Wahe.Madiwani wenzangu nawakumbusha kutekeleza yale tuliyoahidi” Mstahiki Meya

    December 15, 2020
  • “Tunakazi kubwa ya kuwatumikia Wananchi,” Mhe.Ummy Mwalimu

    December 15, 2020
  • Angalia Zote

Video

Baraza la Madiwani la kwanza 2020
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.