Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Usagara ina Diwani mmoja ambaye Mhe. Carlos R. Hizza , Wenyeviti wa Mitaa 5 na wajumbe wa serikali ya mtaa 25.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Usagara ina jumla ya madarasa ya awali 5, shule 2 za msingi na shule moja ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Usagara ina kituo 1 cha kutolea huduma ya Afya kwa wananchi.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Usagara;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.