• Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Staff Mail |
    • Malalamiko |
Tanga City Council
Tanga City Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Halmashauri ya Jiji la Tanga

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia
    • Dira na Dhamira
    • Misingi Mikuu
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasis
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Ujenzi
      • Fedha na Biashara
      • Elimu Sekondari
      • Elimu Msingi
      • Afya
      • Usafi wa Mazingira
      • Mipangomiji na Maliasili
      • Kilimo Umwagiliaji na Ushirika
      • Mifugo na Uvuvi
      • Maendeleo ya Jamii, Ustawi wa Jiamii na Vijana
      • Maji
      • Mipango Takwimu na Ufuatiliaji
    • Vitengo
      • Sheria
      • Ukaguzi wa Ndani
      • TEHAMA
      • Manunuzi
      • Ufugaji Nyuki
      • Uchaguzi
    • Kata
    • Mitaa
  • Fursa za Uwekezaji
    • Sekta ya Utalii
    • Sekta ya Madini
    • Sekta ya Elimu
    • Sekta ya Viwanda
    • Maeneo ya Nyumba na Makazi
    • Sekta ya Misitu na Mashamba ya Miti
    • Sekta ya Uvuvi
  • Huduma Zetu
    • Elimu
    • Afya
    • Usafi na Mazingira
    • Maji
    • Ardhi na Maliasili
    • Ujenzi na Miundombinu
    • Uwezeshaji Wananchi
  • Madiwani
    • Orodha ya Madiwani
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha na Uongozi
      • Kamati ya Uchumi, Afya na Elimu
      • Kamati ya Mipango Miji na Mazingira
      • Kamati ya Kudhibiti UKIMWI
      • Kamati ya Maadili
    • Ratiba
      • Kuonana na Mst. Meya
      • Vikao vya Waheshimiwa Madiwani
  • Miradi
    • Miradi Iliyoidhinishwa
    • Miradi Inayoendelea
    • Miradi Iliyokamilika
  • Machapisho
    • Sheria Ndogo
    • Miongozo
    • Kanuni
    • Fomu Mbalimbali
    • Taratibu
    • Mpango Mkakati
    • Majarida
    • Taarifa za Miradi
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Umma
    • Video
    • Hotuba
    • Maktaba ya Picha
  • TangaTV

Viongozi serikali za mitaa watakiwa kufanya kazi bila kujali itikadi

Imewekwa: November 25th, 2019


Mkuu wa wilaya ya Tanga Thobias Mwilapwa amewataka viongozi wapya wa serikali za mitaa waliochaguliwa  na kupita bila kupingwa kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi wote bila kujali itikadi za vyama kwa maendeleo ya taifa.

Mwilapwa aliyasema hayo wakati wa zoezi la kuapishwa viongozi hao wa serikali za mitaa lililofanyika katika ukumbi wa shule ya ufundi  Tanga.

“Tukawatumikie wananchi wote bila kujali itikadi za vyama vyetu sisi tumechaguliwa na kubeba jukumu la kuwatumikia wananchi wetu katika ngazi ya chini ya uongozi kwahiyo twendeni tukafanye kazi “,.Alisema Mkuu wa wilaya  ya Tanga Thobias Mwilapwa

Kwa upande wake mstahiki meya ya Jiji la Tanga Mustafa Seleboss aliwataka Viongozi hao kutatua Migogoro ya Wananchi katika ngazi ya Mitaa pamoja na kutenda haki .

“Lengo na madhumuni ni kufanya kazi kwa ushirikiano kwa sababu wananchi wenu wamewaamini na kuwaona mnafaa kwenda kusaidia Serikali ya awamu ya tano ili kumsaidia Mwananchi mnyonge katika suala zima la Maendeleo “,.Alisema Mstahiki meya ya Jiji la Tanga Mustafa Seleboss

Nae Mkurugenzi wa Jiji la Tanga Daudi Mayeji akaeleza taarifa ya Uchaguzi wa Serikali za Mitaa na kueleza namna Wyama vingine vilivyojitoa katika Uchaguzi huo  hali iliyosababisha viongozi wa CCM kupita bila kupingwa .

“Nafasi zilitolewa kwaajili ya kuweka pingamizi kwa Wagombea wa Vyama vyote na pia kamati ya Rufaa ilikaa na kujadili pingamizi ambazo zilikuwa zimewekwa na kutoa maamuzi na katika maamuzi yale jumla ya wagombea 103 wa Vyama vya   Upinzani walijitoa na hali hii ndio iliyosababisha Wagombea wa Chama cha Mapinduzi kupita bila kupingwa”,.Alisema Mkurugenzi wa Jiji la Tanga

Kwa upande wake Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Tanga Hamis Mkoba  pamoja na Mjumbe wa Chama hicho  Suzan Uhinga wamewapongeza  Viongozi hao na kuwataka kujenga mahusiano mazuri na wananchi wao .

Wananchi wakimsikiliza  Mkuu wa wilaya  ya Tanga Thobias Mwilapwa.

Matangazo

  • Matokeo ya Kidato cha Sita yametoka July 11, 2019
  • UPANGISHAJI MAENEO MBALIMBALI YA BIASHARA MWAKA WA FEDHA 2017/2018 May 25, 2017
  • Karibu Tushiriki kupokea Mwenge wa Uhuru 07/7/2019. July 05, 2019
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • Wanafunzi wahimizwa kuweka juhudi masomo ya Sayansi

    December 04, 2019
  • Tanga kutoa millioni mbili pambano la Mwakinyo

    November 27, 2019
  • Tanga kurudi katika nafasi yake

    November 27, 2019
  • Viongozi serikali za mitaa watakiwa kufanya kazi bila kujali itikadi

    November 25, 2019
  • Angalia Zote

Video

Tanga jiji yapongezwa
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Matumizi ya TEHAMA kwa Jiji la Tanga
  • Kata na Mitaa ya Jiji la Tanga
  • Manual ya mfumo wa FFARS
  • Muongozo wa ugawaji wa kitambulisho cha mjasiliamali
  • Jarida la Mifumo Yetu - Novemba 2018-Januari 2019
  • Kupata leseni ya Biashara
  • Tangazo kuhusu watumishi waliomba vibali vya uhamisho
  • Kuanza Ujenzi na Kupata Kibali cha Ujenzi
  • Kuhusu kupata kibali cha kusafiri nje ya nchi

Tovuti Linganifu

  • Ofisi ya Rais, Ikulu
  • Mfumo wa Kuomba Vibali vya Nje ya Nchi
  • Facebook
  • Twitter
  • Instagram
  • Tanzania Government Portal

World visitors tracker

world map hits counter

Visitors Counter

free HitCounter

Ramani ya Eneo

Wasiliana Nasi

    Independent Avenue

    Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga

    Simu ya Mezani: 027 2643068

    Simu ya Mkononi:

    Baruapepe: info@tangacc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani

Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.