Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata ya Tongoni ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Nassoro M. Saalim , Wenyeviti wa Mitaa 3, wajumbe 15.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Tongoni kuna jumla ya madarasa ya awali 3, shule3 za msingi na shule moja (1) ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Ilielezwa kuwa Kata ya Tongoni kuna Zahanati 2 zinazotoa huduma za afya.
Shughuli za kiuchumi.
Ilielezwa kuwa zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Tongoni;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.