Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Tangasisi ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Naibu Meya Haniu M. Peni , wenyeviti wa Mitaa 10, na Wajumbe wa Serikali za Mitaa 50.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Tangasisi ina jumla ya madarasa ya awali 2, shule 2 za msingi, na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Tangasisi ina zahanati 1 ya kutolea huduma za afya kwa wananchi
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Tangasisi;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.