Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata ya Pongwe ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Mbaraka S. Mbaraka, Wenyeviti 7 wa Mitaa pamoja na wajumbe 35.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Pongwe kuna jumla ya madarasa ya awali 6, shule 5 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Pongwe kuna kituo kimoja cha kutolea huduma za afya.
Shughuli za kiuchumi
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Pongwe;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.