Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Nguvumali ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mst. Meya Seleboss Mustafa, Wenyeviti wa Mitaa 10 na wajumbe 50.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Nguvumali ina jumla ya madarasa ya awali 4, shule 4 za msingi na shule 2 za sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Nguvumali ina zahanati 1 na kituo cha afya 1 kwa ajili ya kutolea huduma za afya kwa wakazi wa Nguvumali na maeneo jirani.
ya kata hiyo.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Nguvumali.
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.