KATA YA NGAMIANI KUSINI
Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Ngamiani Kusini hiyo Diwani 1 wakuchaguliwa ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Tanga Jiji Mhe. Mussa B. Mbarouk, Wenyeviti 8, pamoja na wajumbe wa serikali ya Mtaa 37.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Ngamiani Kusini kuna jumla ya darasa la awali 1, shule 1 ya msingi hakuna shule ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Ngamiani Kusini ina kituo cha afya 1 cha kutolea huduma kwa wananchi.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Ngamiani Kusini;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.