KATA YA MZIZIMA
Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Mzizima ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Fredrick C. Chiluba, Wenyeviti 3 na wajumbe 15 wa Serikali ya Mtaa.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Ilielezwa kuwa Kata ya Mzizima ina darasa la awali 1, shule 4 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Mzizima ina zahanati 1 ya kutolea huduma za afya kwa wanachi.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Mzizima;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.