Uongozi wa Kata na Mitaa
Ilielezwa kuwa Kata ya Mwanzange ina Diwani mmoja wa kuchaguliwa Mhe. Rashid J. Hamza, pamoja na Wenyeviti wa Mitaa 3.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Mwanzange ina jumla ya madarasa ya awali 2, shule 2 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Mwanzange ina Zahanati 2 za kutolea huduma za afya kwa wananchi.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Mwanzange;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.