Uongozi ngazi ya Kata na Mtaa
Kata ya Mnyanjani ina Diwani mmoja wa kuchaguliwa Mhe. Thobias D. Haule, Wenyeviti wa Mitaa 7 pamoja na Wajumbe 35.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Mnyanjani ina madarasa mawili (2) ya awali na shule 2 za msingi hakuna shule ya sekondari ya Serikali.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Mnyanjani hakuna kituo chochote cha kutolea huduma za Afya
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Mnyanjani;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.