Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata ya Maweni ina Diwani 1 wakuchaguliwa ambaye ni Mhe. Joseph E. Colyvas, Wenyeviti wa Mitaa 4 pamoja na wajumbe 19
Hali ya maendeleo ya Elimu
Ilielezwa kuwa kuna Shule za awali 12, Shule 6 za msingi na Shule 3 za sekondari
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Maweni ina Zahanati 4 za Serikali zinazotoa huduma za afya katika kata hiyo
Shughuli za kiuchumi.
Ilielezwa kuwa zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Maweni;
Kutembelea vikundi vya akina mama na vijana
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.