Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata ya marungu ina Diwani 1 wakuchaguliwa ambaye ni Mhe. Mohamed O. Mambea, pamoja na Wenyeviti wa Mitaa wa 2.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Marungu kuna jumla ya madarasa ya awali 2, shule 2 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Marungu kuna zahanati moja ya kutolea huduma za afya.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Marungu;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.