KATA YA MAJENGO
Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Majengo ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Selemani I. Mbaruku, Wenyeviti wa Mitaa 10 pamoja na Wajumbe 53 wa Serikali ya Mtaa.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Majengo ina jumla ya madarasa ya awali 5, shule 5 za msingi na shule 2 binafsi za sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Majengo ina kituo 1 cha afya na zahanati 1 binafsi.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Majengo
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.