KATA YA MAGAONI
Kata ya Magaoni Ina Diwani 1 wa kuchaguliwa Mhe. Mohamed A. Rajabu, Wenyeviti 5 pamoja na Wajumbe 21 wa Serikali ya Mtaa.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Magaoni kuna jumla ya madarasa ya awali 2 pamoja na shule 2 za msingi
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Magaoni ina zahanati 1 ya kutolea huduma ya afya.
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Magaoni
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.