Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata ya Mabawa ina madiwani 1 wa kuchaguliwa ambaye ni Mhe. Mwasabu J. Ngara, Wenyeviti wa Mitaa 8 pamoja na wajumbe 40.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Mabawa ina jumla ya madarasa ya awali 6, shule 6 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Mabawa ina kituo cha Afya 1 cha kutolea huduma za afya
Shughuli za kiuchumi.
Zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Mabawa;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.