Uongozi wa Kata na Mitaa.
Kata hiyo ina Diwani mmoja wa kuchaguliwa Mhe. Mwagilo S. Adam wenyeviti wa Mitaa 2 na wajumbe 9.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Kirare ina jumla ya madarasa ya awali 2 shule 2 za msingi na shule 1 ya sekondari.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Kirare ina Zahanati 2 kwa ajili ya kutoa huduma za afya.
Shughuli za kiuchumi.
Ilielezwa kuwa zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Kirare:
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.