Uongozi wa Kata na Mitaa
Kata ya Chongoleani ina Diwani 1 wa kuchaguliwa ambaye ni Mhe. Mswahili A. Njama, Wenyeviti wa Mitaa 4, wajumbe 24.
Hali ya maendeleo ya Elimu
Kata ya Chongoleani kuna jumla ya madarasa ya awali 3, shule za msingi 3 na shule za sekondari 2.
Hali ya maendeleo ya Afya.
Kata ya Chongoleani ina zahanati 2 za kutolea huduma za afya kwa wananchi.
Shughuli za kiuchumi.
Ilielezwa kuwa zifuatazo ni shughuli za kiuchumi zinazofanyika katika Kata ya Chongoleani;
Independent Avenue
Sanduku la Posta : P.O.BOX 178, Tanga
Simu ya Mezani: 027 2643068
Simu ya Mkononi:
Baruapepe: info@tangacc.go.tz
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.