Mhe. Jafo ametoa agizo la Maafisa Habari kuwajibika ipasavyo na Ofisi za Mikoa na Halmashauri kununua vifaa kwa Maafisa Habari wao, aagiza hayo Jijini Arusha kwenye ukumbi wa mikutano wa kimataifa (AICC) alipokuwa akifunga Kikao Kazi cha 14 cha Maafisa Mawasiliano Serikalini
Kikao Maluum cha Baraza la Madiwani Tanga Jiji kupitia Mapendekezo ya Mpango wa Bajeti wa Jiji la Tanga kwa Mwaka 2018/2019
Video hii ni Makala ya Matumizi ya TEHAMA Halmashauri ya Jiji la Tanga.
Hakimiliki ©2017 Halmashauri ya Jiji la Tanga . Haki Zote Zimehifadhiwa.